i cant believe its already June, half of the year.
kikubwa ni kumshukuru Mungu kwa pumzi, kwa vyote alivokupa pamoja na vile alivokunyima.
kujirekebisha pale unapokosea.
leting go off what you cant have.
focus.
and dont give up, we still have a long way to go....
happy June.
nimependa what D.M wrote today.
Tujitambue sisi ni kina nani.
Tujikubali kwa namna tulivyo
Tusilalamikie kile Mungu ametunyima
Tushukuru kwa hali zote
Tuhesabu baraka zetu ambazo Mungu ametujaalia.
Tusherehekee mafanikio hata kama nikidogo kiasi gani.
Tuitafute furaha hata mahali palipo na giza totoro huzuni hunyong'onyeza mifupa.
Tusijutie makosa kwa muda mrefu
Turekebishe pale tunapogundua tumekosea.
Heri ya mwezi mpya.......By Dina Marios!

mwaka wa mwendo kasi hahahaha
ReplyDelete