Since it is a Wednesday,My 2016 woman today is a Wednesday woman crush..someone I admire for the efforts n hard work in her life..
This goes to none other than Sachko Takakula
Her story was featured in 8020 fashion blog (shamim's mwasha blog)as of 2015 and its quite inspiring. Please follow this blog for more information http://www.8020fashionsblog.com/celbrating-enterpreneur-womensachko-takakula-sachques/
1.JINA LAKO;Sachko Takakula

2.JINA LA BIASHARA;Sachques Clothes & Sachques Furniture.
3.HISTORIA FUPI YA KAZI:Tangu niko chuo ilikuwa navaa nguo za mtumba nlipokuwa mwaka wa tatu nliolewa na nlipata ujauzito kwa hali yangu kuajiriwa ingekuwa ngumu sana .Baada ya kugraduate alipata kazi kwenye kampuni moja ya simu kama customer care haikumlipa na alikuwa anamtoto kuweza kutimiza mahitaji yote ilikuwa inamshinda kwasababu alishatengana na mzazi mwenzie so akaamua aache .2012 alikuwa na hakiba yake akanza kuuza mitumba kwa mtaji tu wa laki moja na nusu anazungusha maofisini na mtaani ilikuwa kazi mno maana unaweza uende kudai hela uliyokopwa unakalishwa masaa mara mtu hana au katoka ila nilikomaa nlijua nlichokuwa nataka.Nilikuwa nadream big kuwa na sehem kubwa ya kuuzia nguo hakiba yake akaingia mkataba na baba alikuwa na zizi la ngo’mbe akaijenga ile sehemu from scratch mpaka mwisho ,nlitaka seheme kubwa kwakuwa nlitaka niwe muuza nguo tofauti niwe nafua na kupasi na kuwa na fundi atakae rekebisha nguo za wateja..Alhamdu Lillah biashara ikakuwa nkaweza kwenda china kuleta mzigo maana nlikuwa na sehem kubwa nlitaka supplier wa mtumba kutoka kwenye factories .Baada ya nguo nkataka ku invest zaidi nkataka duka la nguo mpya baaade nkabadili mawazo nkaanzisha furnitures kwasababu siku hizi wengi wanapenda vitu toka hapa hapa nyumbani sio imported nkaona hii fursa..2013/2014 aliitwa pia kwenye furasa.
Sachko tofauti na wafanya biashara wengi yeye alianza kuweka bei kwenye mitandao anasema ni kwakuwa wengi wanaishi kwa bajeti kumpa mtu bei kunamfanya ajipange.
4.HUDUMA ZINAPATIKANA WAPI;Tupo kijitonyama near polisi mabatini cont 0774801316
5.USHAURI WAKO KWA MWANAMKE ANAEKUTAZA AKITAKA NAE KUWA MJASIRIAMALI KAMA WEWE;Wengi wanaamini bila mtaji mkubwa hawezi kufanya biashara ila si kweli kidogo ulichonacho anza nacho,usidharau biashara mimi nlipoanza kuuza mitumba watu walinidharau huyu anaunza nguo za mtumba ila look where iam now,kujituma na kujimini unaweza,Jaribu sana kwenye biashara yako kuuza vitu vingi kwa faida ndogo kuliko vichache kwa faida kubwa.
8.KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NINI UJUMBE WAKO KWA WANAWAKE;Usisubiri kutegemea mtu,uzuri huwa naao unaisha so fanya kazi usitegemee mimi mzuri utatoka beuty fades ukishapotea sijui unaishije na ulitegemea uzuri wako,usikate tamaa na toa mentality kuwa mwanamke huwezi hadi uwezeshwe hapana unaweza sana jiamini tu.
Sachques says "Elimu ni muhimu sana ila sio kila kitu kama elimu itakushape vizuri kwenye society basi itafute.
My opinion
As the saying famously used by blogger Mange Kimambi "education is sexy"
All women should never be afraid or feel too old for school. I believe education shapes you and gives you a guidance on how to do things. like there is no limit with it.
Even when not privileged to go to school, dont give up on yourself, work towards your dreams and what you believe in.
to continue.
3.HISTORIA FUPI YA KAZI:Tangu niko chuo ilikuwa navaa nguo za mtumba nlipokuwa mwaka wa tatu nliolewa na nlipata ujauzito kwa hali yangu kuajiriwa ingekuwa ngumu sana .Baada ya kugraduate alipata kazi kwenye kampuni moja ya simu kama customer care haikumlipa na alikuwa anamtoto kuweza kutimiza mahitaji yote ilikuwa inamshinda kwasababu alishatengana na mzazi mwenzie so akaamua aache .2012 alikuwa na hakiba yake akanza kuuza mitumba kwa mtaji tu wa laki moja na nusu anazungusha maofisini na mtaani ilikuwa kazi mno maana unaweza uende kudai hela uliyokopwa unakalishwa masaa mara mtu hana au katoka ila nilikomaa nlijua nlichokuwa nataka.Nilikuwa nadream big kuwa na sehem kubwa ya kuuzia nguo hakiba yake akaingia mkataba na baba alikuwa na zizi la ngo’mbe akaijenga ile sehemu from scratch mpaka mwisho ,nlitaka seheme kubwa kwakuwa nlitaka niwe muuza nguo tofauti niwe nafua na kupasi na kuwa na fundi atakae rekebisha nguo za wateja..Alhamdu Lillah biashara ikakuwa nkaweza kwenda china kuleta mzigo maana nlikuwa na sehem kubwa nlitaka supplier wa mtumba kutoka kwenye factories .Baada ya nguo nkataka ku invest zaidi nkataka duka la nguo mpya baaade nkabadili mawazo nkaanzisha furnitures kwasababu siku hizi wengi wanapenda vitu toka hapa hapa nyumbani sio imported nkaona hii fursa..2013/2014 aliitwa pia kwenye furasa.
Sachko tofauti na wafanya biashara wengi yeye alianza kuweka bei kwenye mitandao anasema ni kwakuwa wengi wanaishi kwa bajeti kumpa mtu bei kunamfanya ajipange.
4.HUDUMA ZINAPATIKANA WAPI;Tupo kijitonyama near polisi mabatini cont 0774801316
5.USHAURI WAKO KWA MWANAMKE ANAEKUTAZA AKITAKA NAE KUWA MJASIRIAMALI KAMA WEWE;Wengi wanaamini bila mtaji mkubwa hawezi kufanya biashara ila si kweli kidogo ulichonacho anza nacho,usidharau biashara mimi nlipoanza kuuza mitumba watu walinidharau huyu anaunza nguo za mtumba ila look where iam now,kujituma na kujimini unaweza,Jaribu sana kwenye biashara yako kuuza vitu vingi kwa faida ndogo kuliko vichache kwa faida kubwa.
6.CHANGAMOTO UNAZOKUTANA NAZO;Nguo kuuza ni kazi maana kila nguo iko peace moja na unakuta wateja wengi wanataka hiyo hiyo nguo moja,demand inakuwa kubwa supply kidogo.wengine hawaamini nguo uliyopost kama ilikuwepo kwakuwa inakuwa moja na mtu akifika unakuta ishauzwa.
7.UNATUMIA VIPI SOCIAL MEDIA KIBIASHARA;Ku advertise,kuelimisha vijna wenzangu,kuweka bei ya vitu ila wateja wapae bajeti zao.8.KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NINI UJUMBE WAKO KWA WANAWAKE;Usisubiri kutegemea mtu,uzuri huwa naao unaisha so fanya kazi usitegemee mimi mzuri utatoka beuty fades ukishapotea sijui unaishije na ulitegemea uzuri wako,usikate tamaa na toa mentality kuwa mwanamke huwezi hadi uwezeshwe hapana unaweza sana jiamini tu.
Sachques says "Elimu ni muhimu sana ila sio kila kitu kama elimu itakushape vizuri kwenye society basi itafute.
My opinion
As the saying famously used by blogger Mange Kimambi "education is sexy"
All women should never be afraid or feel too old for school. I believe education shapes you and gives you a guidance on how to do things. like there is no limit with it.
Even when not privileged to go to school, dont give up on yourself, work towards your dreams and what you believe in.
to continue.
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment